Manyara hotel ilivyo katika eneo lenye kuvutia
Eneo la Maranja kuna mlima mzuri kama huu ,kivutio tosha
Angalia kule chini ni eneo la Ngorongoro Kreta
Geti la Ngorongoro
Ngorongoro Kreta
Uharibifu wa ma azingira unaathiri uhalisia wa baadhi ya maeneo ndani ya hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro
Swala akitembea kwa kujiamini
Karibu hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Kitimoto pori
Simba hupenda kujipumzisha katika mawe haya
Napisha gari
Boma la Kimasai
Tunaingia hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Wanyama hawa mvua,kiangazi hupendeza
Wageni hupata burudani wafikapo maboma ya Kimasai
Nipishe nipite
Wanapendeza
wanajipuzisha
Wanyama mbalimbali hukaa pamoja
Swala wakikimbia
Uchomaji wa nyasi katika maeneo haya ni moja ya uhifadhi,kiikolojia huboresha malisho
Wanyama hujipumzisha pamoja
Tumbili
Tumbili akiwa amejipumzisha
Twiga
Ndabaka getini mapumziko kidogo
No comments:
Post a Comment