Thursday, May 29, 2014

Raha za Utalii Saanane

 Pimbi ndani ya hifadhi ya Taifa ya Saanane ni wapole,huwafuata wageni wanapokuwa wamekaa
 Swala wakivuka mawe kama wafanyavyo watalii ili kufurahia uzuri na uumbaji wa Mungu kisiwani hapo.
 Wanyama hao ni kivutio kikubwa
 Utalii ndani ya kisiwa hicho kuna wakati wa kupanda na wakati wa kushuka kama inavyoonekana kwa wahariri na waandishi waaandamizi wa habari
 Afisa habari wizara ya Maliasili na Utalii Tulizo Kulaga akipanda juu ya jabari ili kupata nafasi ya kuangalia ziwa Victoria na jiji la Mwanza ,raha ya Saanane hiyo.
 Kisiwa cha Chankende kinachounda hifadhi ya Taifa ya Saanane
 Punda milia ndani ya kisiwa hicho hawana hofu ya kuliwa na wanyama wakali hivyo huweza kukaa hadi kwenye miti kama ilivyo hapo.
 Mawe kama hayo ni kivutio
 Utalii unaendelea ndani ya ziwa Victoria
 Safari ya Utalii
 Wavuvi wakiendelea na safari yao ndani ya ziwa victoria
 Si kwamba wamepangwa bali ni utaratibu wa ndege hawa kuwalaki wageni
 Utalii wa majini rahaaaaa,wanafurahia
 Ndege wazuri wakiwa juu ya miamba
 Pembezoni mwa ziwa victoria kuna hotel nzuri kwa wageni
 Ndege wakiwa wamejipumzisha na wengine wakiruka


 Mwisho wa safari za utalii hupata nafasi ya kufurahi,watalii hupata nafasi ya kuruka maana ni eneo mahsusi la kuruka
 Waandishi wakipata maelezo ya hifadhi hiyo
 Ni raha ,kupanda miamba na kuangalia uumbaji wa Mungu kwa maeneo mengine
 Tumefikaaaaaaaaaaaaaa
 Wakati mwingine unapopanda na kushuka hupata nafasi ya kupumzika kama ilivyo kwa afisa utalii Beatrice,lakini safari iliendelea
Safari ya kurudi huwa kama inavyoonekana

SAFARI YA UTALII HIFADHI YA TAIFA SERENGETI

 NYUMBU WAKIWA WAMEPUMZIKA
 PUNDAMILIA WAKISAKA MALISHO
 UTALII UNAENDELEA KWA MAFANIKIO
 WAKISHIBA HUPUMZIKA
 TWIGA AKIPATA CHAKULA
 WANAPENDEZA
 TEMBO
 WANAVUTIA KUANGALIA

 THE BIG FIVE
 UWANJA WA NDEGE SERONERA
 KONGONI
 SIMBA KATIKATI YA BARABARA
 HAPISHI GARI
 NI MAPUMZIKO
 INABIDI KUWAPISHA
 KAJIPUMZISHA BARABARANI
 MZEE WA PORI
HAWANA HARAKA

Wednesday, May 28, 2014

UTALII WA NDANI

 Utalii wa ndani kwenda hifadhi ya Taifa ya Saanane
 Maandalizi ya kwenda Saanane
 Utalii lazima ujiandae

 Tunasubiri kuanza safari
 Trapia hotel
 Huo ndio usafiri lakini una raha
 Wakiwa kazini
 Girafee Tree
 Twendeni usafiri ni salama
 mwendo si mbaya
 Cheti cha kushiriki warsha
Tunachukua habari