Pimbi ndani ya hifadhi ya Taifa ya Saanane ni wapole,huwafuata wageni wanapokuwa wamekaa
Swala wakivuka mawe kama wafanyavyo watalii ili kufurahia uzuri na uumbaji wa Mungu kisiwani hapo.
Wanyama hao ni kivutio kikubwa
Utalii ndani ya kisiwa hicho kuna wakati wa kupanda na wakati wa kushuka kama inavyoonekana kwa wahariri na waandishi waaandamizi wa habari
Afisa habari wizara ya Maliasili na Utalii Tulizo Kulaga akipanda juu ya jabari ili kupata nafasi ya kuangalia ziwa Victoria na jiji la Mwanza ,raha ya Saanane hiyo.
Kisiwa cha Chankende kinachounda hifadhi ya Taifa ya Saanane
Punda milia ndani ya kisiwa hicho hawana hofu ya kuliwa na wanyama wakali hivyo huweza kukaa hadi kwenye miti kama ilivyo hapo.
Mawe kama hayo ni kivutio
Utalii unaendelea ndani ya ziwa Victoria
Safari ya Utalii
Wavuvi wakiendelea na safari yao ndani ya ziwa victoria
Si kwamba wamepangwa bali ni utaratibu wa ndege hawa kuwalaki wageni
Utalii wa majini rahaaaaa,wanafurahia
Ndege wazuri wakiwa juu ya miamba
Pembezoni mwa ziwa victoria kuna hotel nzuri kwa wageni
Ndege wakiwa wamejipumzisha na wengine wakiruka
Mwisho wa safari za utalii hupata nafasi ya kufurahi,watalii hupata nafasi ya kuruka maana ni eneo mahsusi la kuruka
Waandishi wakipata maelezo ya hifadhi hiyo
Ni raha ,kupanda miamba na kuangalia uumbaji wa Mungu kwa maeneo mengine
Tumefikaaaaaaaaaaaaaa
Wakati mwingine unapopanda na kushuka hupata nafasi ya kupumzika kama ilivyo kwa afisa utalii Beatrice,lakini safari iliendelea
Safari ya kurudi huwa kama inavyoonekana
No comments:
Post a Comment