Sunday, April 27, 2014

FURSA ZA UTALII MUSOMA

 MATIVILLA BEACH ILIYOKO FUKWE ZA ZIWA VICTORIA MUSOMA NI FURSA MARIDHAWA YA UTALII INATAKIWA KUTANGAZWA ZAIDI.

 NI ENEO MIONGONI MWA FURSA ZILIZOKO KANDO KANDO YA ZIWA VICTORIA ZENYE HEWA NA MANDHARI MARIDHAWA

 KUNA MIAMBA ILIYO KWA MPANGILIO


 WANYAMA KAMA HUYU WAPO NI RAFIKI WA BINADAMU
 LAKINI MAGUGU MAJI KAMA HAYATAONDOLEWA YATAHARIBU FUKWE HIZO
UHIFADHI UNADUMISHWA ENEO HILO

No comments:

Post a Comment