Tembo waua watu 14
Serengeti
Na Anthony
Mayunga, Mwananchi
Jumapili,Oktoba13 2013
Jumapili,Oktoba13 2013
Kwa ufupi
Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Goody Pamba alisema watu wanne walijeruhiwa
katika kipindi hicho.
Serengeti.
Watu 14, ng’ombe 72, mbuzi 440, kondoo 60 wameuawa na mashamba 3042 yenye ekari
zaidi ya 6287 yameharibiwa na wanyama wakali kama tembo kati ya mwaka 2009
mpaka sasa wilayani Serengeti.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Goody Pamba alisema watu wanne walijeruhiwa
katika kipindi hicho.
Pamba
alisema pamoja na madhara hayo, kwa Mjibu wa sheria ya wanyama pori ya mwaka
2009, hakuna kifuta machozi kilichokwishatolewa na Wizara ya Maliasili na
Utalii, hali ambayo inazidisha uhasama kati ya jamii na wahifadhi.
No comments:
Post a Comment