TEMBO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI,WANYAMA HAWA NI KIVUTIO KIKUBWA CHA WATALII,LAKINI SASA WAKO HATARINI KUTOWEKA KUTOKANA NA KUKITHIRI KWA UJANGILI.
NDANI YA HIFADHI UNAWAKUTA WANYAMA MBALIMBALI WAKIWA PAMOJA KAMA INAVYOONEKANA HAPO.
TEMBO
CHUI AKIWA KATIKA MAZINGIRA YA KUVIZIA MAWINDO.
No comments:
Post a Comment