PUNDAMILIA ALIYEINGIA MJINI NA KUZUA TAHARUKI AKIWA KITUO CHA POLISI MUGUMU-SERENGETI
AKIONGOZWA NA ASKARI POLISI KWENDA KITUO CHA POLISI KWA USALAMA WAKE
ALIJERUHIWA NA WATU WANAODAIWA KUWA MAJANGILI NA KUFANIKIWA KUKIMBIA HADI MJINI
WANANCHI WAKIWA WANAMVUTA BAADA YA KUFANIKIWA KUMFUNGA KAMBA
KAZI HAIKUWA RAHISI
ANAFUNGWA KAMBA ILI APEWE HUDUMA YA KWANZA ILI KUZUIA DAMU ZILIZOKUWA ZINAVUJA KWA WINGI
HUDUMA ZINAENDELEA,KISHA ALICHUKULIWA KUPELEKWA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KWA MATIBABU NA UANGALIZI ZAIDI
No comments:
Post a Comment