DUMA NI MYAMA KWENYE KASI SANA ,HUTEGEMEA MBIO WAKATI AWINDAPO,HAPO AKIWA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI.
TAI NI NDEGE MUHIMU SANA KWA MASUALA YA IKOLOJIA ,HAPO WANAJIPATIA CHAKULA,NDEGE HAWA KAMA ILIVYO KWA WANYAMA WENGINE HUISHI KWA KUTEGEMEA BAADHI YA WANYAMA WALAO NYAMA WANAPOUA WANYAMA NAO HUPONEA HAPO.
MAWINDO
HAPA ANAANGALIA MAADUI KWA MBALI NA PIA NAMNA YA KUPATA CHAKULA KUTOKA KWA WANYAMA WALAO NYAMA WANAPOKUWA WAMEFANIKIWA KUUA.
No comments:
Post a Comment