 |
ATUKIO KAMA HAYA NI ADIMU KUYASHUHUDIA SIMBA WAKIWA WANAJAAMIANA MAANA HUJITENGA NA WENGINE NA HUWACHUKUA MUDA MREFU KUKAMILISHA HAJA ZAO |
 |
ATUKIO KAMA HAYA NI ADIMU KUYASHUHUDIA SIMBA WAKIWA WANAJAAMIANA MAANA HUJITENGA NA WENGINE NA HUWACHUKUA MUDA MREFU KUKAMILISHA HAJA ZAO |
SIMBA WAKIWA WAMETULIZANA
HAPO DUME NA JIKE WAKIWA WAMEPUMZIKABAADA YA MZUNGUKO WA MAISHA
WAPATAPO MAWINDO HUFURAHI KWA PAMOJA
DUME LA SIMBA LINAPOKUWA LIMEEZEKA HUDHARAULIWA NA WANYAMA WENGINE KAMA ILIVYO HAPO.
SIMBA BAADA YA KUPATA MAWINDO ANAWAPELEKEA WATOTO NA DUME AMBALO HALIWINDI.
DUME LA SIMBA AKIWA AMEBEBA MZOGA WA NYUMBU
 |
PUNDA MILIA NI WANYAMA AMBAO HUWINDA KWA URAHISI NA SIMBA |
 |
HAPO NI MAPUMZIKO. |
JIKE NA DUME WAKIWA WANABADILISHANA MAWAZO
SIMBA AKIWA NA MSOSI
No comments:
Post a Comment