Friday, December 13, 2013

ZIARA YA HABARI KTK VIJIJI VINAVYOZUNGUKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI.

 Wanahabari wa mkoa wa Mara na mikoa mingine wakijiandaa kwenda vijiji vinavyozunguka hifadhi ya taifa ya Serengeti katika wilaya ya Tarime,lengo likiwa ni kuona changamoto zinazowakabili wananchi waishio huko,kuhusiana na ongezeko la wanyama waharibifu wa mazao.

 Maji ni tatizo linalowasumbua wakazi wa vijiji vizungukavyo hifadhi ya Taifa ya Serengeti wilaya ya Tarime
 Punda ndio wanyama wanaotumiwa na wananchi kusaka maji
 Msechu Msechu akiwa katika harakati za kuandaa kipindi katika kijiji cha Kitawasi wilayani Tarime.
Moja ya chan hiyo changamoto iliyowakuta waandishi wa habari katika ziara hiyo ni kuharibika kwa gari na kushindwa kufikia malengo yao.

No comments:

Post a Comment