Tuesday, December 10, 2013

WAANDISHI,WAZEE WA MILA,VIONGOZI WA VIJIJI NA TANAPA WANOLEWA KUHUSU CHANGAMOTO ZA UJILANI MWEMA

 Viongozi wa serikali za vijiji na wazee wa mila kutoka kando kando ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwenyemafunzo ya pamoja na waandishi wa habari wa mkoa wa Mara kuhsu masuala la ujilani mwema kwenye ukumbi wa CMG wilayani Tarime
Baadhi wa wazee wa mila na waandishi wa habari wakisikiliza mada .

No comments:

Post a Comment