Tuesday, December 10, 2013

matukio ya mafunzo ya waandishi wa habari za ujilani mwema na hifadhi ya Serengeti

 mhifadhi mkuu wa hifadhi ya Taifa ya Serengeti William Mwakilema akifungua mafunzo ya waandishi wa habari za ujilani mwema wa mkoa wa Mara na kutoka nje ya mkoa kwa niaba ya Mkurugenzi mkuu wa Tanapa Allan Kijazi , yaliyojumisha pia viongozi wa vijiji vinavyopakana na hifadhi hiyo wilayani Tarime na wazee wa mila kwenye ukumbi wa CMG Tarime
 Maxmilian Ngesi akichangia mjadala
wazee wa mila wakifuatilia mjadala-picha zote kwa hisani ya Journo Tourism

No comments:

Post a Comment