Monday, December 16, 2013

Nyani wanavutia kwa matendo yao

 Tumbili ni wanyama wanaovutia watu wengi kutokana na mambo yao paa la ,jengo la TCIAA mjini Musoma ni uwanja mzuri wa wanyama hao .
 Mmoja akiwa nna mtoto,mwingine anaonyesha upendo ,kumjali mwenzie kama inavyoonekana hapo
Hapo wanaonyeshana upendo

No comments:

Post a Comment