Saturday, December 14, 2013

BODABODA HUDAIWA KUTUMIWA KUSAFIRISHA NYARA KWENDA NCHI JILANI YA KENYA


 BODA BODA HUTUMIWA KUSAFIRISHA MIZIGO KWA NJIA ZA PANYA KUTOKA NCHI JILANI YA KENYA KAMA ILIVYONASWA NA KAMERA YA JOURNO TOURISM KATIKA KIJIJI CHA MASURURA KATA YA GORONG'A WILAYANI TARIME.



 INADAIWA PIKIPIKI HIZO HUTUMIWA KUSAFIRISHA NYARA ZA TAIFA KUPELEKA NCHI JILANI YA KENYA

KATIKA ENEO HILO KUNA KITUO CHA POLISI CHA KEGONGA LAKINI MIZIGO HUPITA KWA URAHISI

No comments:

Post a Comment