Thursday, November 14, 2013

KONTENA LA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA ZANZIBAR NI SAWA NA TEMBO 305


KAZI YA KUUNGANISHA VIPANDE VYA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA IMEKAMILIKA.

VIPANDE VYA MENO YA TEMBO 1013 VILIVYOKAMATWA JANA KISIWANI ZANZIBAR VIMEUNGANISHWA NA KUPATA IDADI YA TEMBO WALIOUAWA KUWA 305. THAMANI YA TEMBO 305 NI DOLA ZA KIMAREKANI 15,000 SAWA NA SHILINGI BILIONI 7,480,125,000.

HII NI SHEHENA KUBWA KUWAHI KUKAMATWA KATIKA MIAKA YA KARIBUNI KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA

No comments:

Post a Comment