Wasanii kutoka kituo cha Bujola Mwanza wakitumbuiza kabla ya waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu hajazindua kampeini ya Uhamasishaji wa Utalii wa Ndani,hafla iliyofanyika Yatch Club jijini Mwanza
Tukio hilo lilimikutanisha na magwiji mbalimbali wa habari,kama inavyoonekana hapo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa Allan Kijazi akiingia eneo la Tukio,hapo akisalimia baadhi ya wageni waliofika kushuhudia
Waziri Nyalandu akiwa na viongozi mbalimbali wa Tanapa,wizara ya Maliasili na Mkoa wa Mwanza.
Waziri wa Maliasili na Utalii Nyalandu akitoa hotuba kabla ya kuzindua kampeini hiyo
Waziri Nyalandu akiwa na baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Saut
Mkurugenzi wa Tanapa Kijazi akieleza lengo la Kampeini hiyo,kuwa ni kuongeza idadi ya watalii wa ndani.
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza akitoa nasaha kabla ya kumkaribisha waziri wa Maliasili na Utalii.
Waziri wa wanachuo cha Saut
Wakurugenzi wa Tanapa na maafisa wa wizara ya Maliasili wakifuatilia burudani
Baadhi ya wanachuo wa Saut wakiwa tayari kuanza safari ya kwenda kisiwa cha Saanane kama uzinduzi wa kampeini ya utalii wa ndani
Waziri Nyalandu akizindua rasmi kampeini hiyo ,kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa Kijazi.
Safari ya kuelekea hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane yaanza
Waziri Nyalandu akizindua safari ya kuelekea hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Tangazeni sana utalii wa ndani maana tuna maliasili nyingi,anasisitiza Nyalandu
Safari ya kuelekea hifadhi ya Taifa ya Serengeti yaanzan,tangazeni utalii wa ndani anasema Nyalandu
Picha ya pamoja waziri ,wahariri wa habari na maafisa wa Tanapa,Maliasili na Utalii mara baada ya uzinduzi wa kampeni.picha zote kwa hisani ya Jouro Tourism.
No comments:
Post a Comment