Baadhi ya waandishi wa habari kutoka chama cha waandishi wa habari za Maliasili na Utalii Tanzania(Journo Tourisim)wakiwa wamekaa wakisubiri kukutana na kaimu mhifadhi mkuu wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za Maliasili na Utalii Tanzania John Dotoakibadilishana uzoefu na waandishi wenzake |
Wanasikiliza maelezo ya wahifadhi.
Afisa habari na Mawasiliano wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Vicenti Mbirikaa akitoa maelezo juu ya athari ya gugu vamizi ndani ya mamlaka hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari,maafisa wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kushuka Kreta.
Muongoza wageni wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Kiddy Silver akitoa maelezo juu ya umuhimu wa bonde la Ngorongoro na rasilimali zilizomo kwa waandishi wa habari.
Ndani ya Kreta wageni wakiendelea na utalii ndani ya bonde la Kreta lililojaa wanyama wa aina mbalimbali
Wanyama wakiwa wametulia
Wanyama kama hao wanapatikana humo
Pundamilia ni miongoni mwa wanyama wanaopamba ulimbwende wa bonde la Kreta
Viboko wakiwa kwenye eneo lao ni kivutio kikubwa kwa wageni
Kitimoto wa porini akiwa anajipatia chakula
Tembo wakubwa kwa Tanzania wanadaiwa kupatikana katika bonde la Kreta ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro
Wanyama wakijipatia malisho bila wasiwasi hata ukiwakaribia
Tembo ndani ya bonde la Kreta akipata chakula ,huku viboko wakiwa wametulia ikionyesha mahusiano yalivyo ya wanyama hao.
Huyo ni miongoni mwa Big 5 waliomo ndani ya bonde la Kreta
Simba ambao ni miongoni mwa big 5 wakiwa wamejipumzisha ikiwa ni ishara ya shibe
Simba
Wageni mbalimbali wakiwa wanapiga picha wanyama mbalimbali ndani ya bonde la Ngorongoro.
Utalii
Pofu mnyama ambaye waamasai wanadai ni ng'ombe wao aliyepotea ni miongoni mwa vivutio vilivyomo ndani ya bonde la kreta.
Mbuni ndani ya bonde hilo wana vitu vya kipekee kwa kuwa wanapooana magari hukaa tayari kwa ajili ya kupigwa picha kama inavyoonekana hapo.
Mbuni wakiendelea na utafutaji wa riziki ndani ya bonde la Kreta
Viboko katika bwawa ndani ya bonde la kreta wakiwa wanawaangalia wageni mbalimbali waliokuwa wakiwapiga picha,kutokana na utulivu uliomo ndani ya bonde hilo wanyama hao hufikia hatua ya kusogea karibu na wageni ili kuwapa nafasi ya kuwapiga picha vizuri,maajabu ya Ngorongoro.
Wageni mbalimbali wakiwemo wazawa wakiwa wamepumzika karibu na bwawa hilo wakiangalia makeke ya viboko waliomo humo.
Editha Majula mwandishi wa Nipashe Dodoma akiwa anapiga picha viboko
Baadhi ya waandishi wakiwa wanashangaa utajiri wa rasilimali zilizomo.
Waandishi wa wataalam wa Mamlaka ya hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro wakiwa katika picha ya pamoja
Ndege akiwa anapata chakula
Kiboko akiwa nje ya bwawa ,wanyama hao katika bonde hilo hutoka mapema kwa ajili ya kutafuta chakula ikiwa ni tofauti na maeneo mengine ambapo wanyama hao hutoka usiku
Picha ya pamoja
wanyama na ndege
wanyama hawa nao wamo
No comments:
Post a Comment