Sunday, March 15, 2015

PICHA ZA MATUKIO YA ZIARA YA WAANDISHI KUTOKA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MALIASILI NA UTALII NGORONGORO

Vivutio mbalimbali vinapatikana kreta
Kuro ni miongoni mwa wanyama wanaopatikana Kreta ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro
Mmoja wa wauza vinyago Oldupai
Taarifa mbalimbali zinatolewa na mmoja wa wataalam Oldupai


Maajabu mbalimbali yanashangaza kila mmoja anapofika Oldupai
Mzee wa Kimasai akiwa kituo cha Oldupai
Wageni huvutiwa na mila na desturi za jamii ya Wamasai kama inavyoonekana
Mchanga unaotembea ni kivutio kikubwa kwa wageni mbalimbali wanaotembelea Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro
Kuna nini huko chini anaonekana kuuliza
Mchanga unaotembea huvuta hisia za watu mbalimbali
Waandishi wa habari za Maliasili na Utalii wakiwa wanaangalia mchanga unaotembea
Kila mmoja alichukua kumbukumbu ya kivutio hicho
Mmoja wa waongoza wageni akielezea jinsi wageni wanavyofurahia vivutio vilivyo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.


Waandishi wanapata nafasi ya kuwasiliana na jamii ya waamasai wanavyochukulia tukio la mchanga unaotembea.




Ziara hiyo iliwafikisha kwenye boma la Seneto na kujifunza mambo mbalimbali ya jamii hiyo wawapo kwenye maboma

Moja ya sifa kuu ya jamii ya Masai kwa wanaume ni lazima uwe na fimbo ama mkuki

No comments:

Post a Comment