Wednesday, November 5, 2014

Mauaji ya Simba ndani ya hifadhi ya Jamii ya Ikona Wma

 Si kwamba Simba wamepumzika baada ya kushiba ,bali wamekufa baada ya kula nyama inayodaiwa kuwekwa sumu ndani ya hifadhi ya jamii ya Ikona Wma wilayani Serengeti.

Tukio hilo liliwakutanisha wahifadhi mbalimbali

No comments:

Post a Comment