Saturday, December 14, 2013

MATUKIO YA UFUNGAJI MAFUNZO YA WANAHABARI

 Dc wa Tarime John Henjewelle akiwa anafuatilia maelezo juu ya mafunzo kwa wanahabari wa mkoa wa Mara ,wahariri na viongozi wa Tanapa  juu ya uandishi wa habari za migogoro ya jamii ,kwenye ukumbi wa CMG Tarime,pembeni kwake ni meneja uhusiano wa Tanapa Paskael Shelutete

 Meneja uhusiano wa Tanapa Paskael Shelutete akitoa lengo la kuwakutanisha wanahabari,viongozi wa jamii na vijiji vinavyopakana na hifadhi ya taifa ya Serengeti.
 Wanahabari wakiwa kazini kuhakikisha wananasa kila pointi inatosemwa.
 Wanahabari wakitimiza wajibu wao
 Wanahabari wakisikiliza hotuba ya kufunga mafunzo kutoka kwa Dc wa Tarime John Henjewelle
 Dc wa Bunda Joshua Mirumbe akitoa salaam kwa wanahabari
 Picha ya pamoja ya wanahabari ,wakuu wa wilaya na uongozi wa Tanapa mara baada ya kufunga mafunzo
 Tuko pamoja kutangaza utalii ni baadhi ya maeno yaliyochukua nafasi
 Uhifadhi wakutanisha wanahabari,viongozi wa jamii,vijiji ,Tanapa na serikali kuu
Mirumbe akieleza umuhimu wa waandishi wa habari kukuza na kutangaza utalii-picha zote na Journo Tourism

No comments:

Post a Comment