Saturday, November 30, 2013

NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUNA VIVUTIO VINGI.

MAKUNDI YA NYUMBU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI WAKIELEKEA MAENEO YA KASKAZINI KWA AJILI YA KUZAA,HII INADHIHIRISHA KUWA TAARIFA ZILIZOANDIKWA NA VYOMBO VYA HABARI KENYA KUWA NYUMBU WAMERUDI MAASAI MARA KUTOKANA NA UKAME NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YASERENGETI HAZINA UKWELI.
NDEGE HAO NI WATULIVU WANAPATIKANA KWA WINGI NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI,WAGENI WENGI HUPENDA KUWAFUATILIA NA KUWAPIGA PICHA.





 TUKIO HILI NI ADIMU KULISHUHUDIA,HAPA BLOG YA JOURNO TOURISM IMEFANIKIWA KUMKUTA TWIGA ANANYONYESHA KATIKA HIFADHI YA TAIFA TA SERENGETI.
VIBOKO NDANI YA MTO MARA NI KIVUTIO KIKUBWA CHA UTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI.

No comments:

Post a Comment