Wednesday, April 3, 2013

MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI ZA MALIASILI NA UTALII

meneja mradi wa Frankfurt Zoological Society(FZS)Afrika Gerard Bigurube akitoa mada kwa waandishi wa habari za Maliasili na Utalii ukumbi wa Twiga Camp Mto wa Mbu wilayani Monduliyaliyoandaliwa na chama cha waandishi wa habari za Maliasili na Utalii.

Gerard Bigurube

Gerald Bigurube

No comments:

Post a Comment