SIMBA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI WAKIWA WAMEPUMZIKA |
TEMBO WA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAKIPISHA MAGARI YA WAGENI IKIWA NI ISHARA YA JINSI WANYAMA NDANI YA HIFADHI HIYO WANAVYOISHI NA WANANCHI PAMOJA. |
TWIGA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI WAKIWA WAMEPUMZIKA KIVUTIO KWA WAGENI |
KUNDI LA NYATI. |
BAADHI YA WATALII WAKIWA WANAPIGA PICHA SIMBA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI. |
NDANI YA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO KUNA WANYAMA WENGI WAKUBWA KAMA TEMBO |